West Ham imemfukuza kocha Manuel Pellegrini baada ya saa chache kupita tangu wapate kipigo kutoka kwa Leicester City.
West Ham imepoteza mechi saba kati ya tisa zilizopita za ligi kuu nchini England ambapo wanashika nafasi ya 17 wakiwa na pointi 19.
0 Comments