Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amewekwa chini ya uangalizi kwa siku 14 kufuatia Mkewe Sophie kukutwa na virusi vya corona, Sophie amerejea Canada akitokea London hivi karibuni na baada ya kupimwa amekutwa na corona.
“Waziri Mkuu ni mzima hatujamkuta hata na dalili ila tunamtenga kwa vipimo zaidi maana Mkewe ana virusi vya corona”
0 Comments