.
.
Akiongea 'LIVE' na MVP Lil Ommy kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dimpoz amesema kua kwasasa ameanza maandalizi madogo madogo ikiwemo kufuga ndevu , ili ata akienda kuposa aonekane Ni Kijana anaejielewa
.
.
Mkali uyo anaetamba na Ngoma 'KATA' ameongeza kua alitaka kuoa kipindi hiki Cha Ramadhan, lakini akaogopa asije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
0 Comments