Kama mwanamke au msichana wa kisasa na unapenda kuonekana stylish hivi ni vitu sita muhimu kwako kuwa navyo ambavyo ukifika kokote au ukitembea watu wakikuangalia watakuona stylish,
MKOBA, hakikisha una mikoba miwili au mitatu ambayo ni mizuri yenye rangi ya kuvutia inaweza ikawa size na rangi tofauti, mkoba ni moja ya urembo ambao mwanamke stylish hatakiwi kukosa husaidia kuweka urembo wako kama cheni, hereni na vingine.
MAWANI: hakuna mwanamke stylish ambae hana urembo huu ukiachana na kukufanya uonekane stylish pia husaidia kukinga ngozi dhidi ya jua na kubadilisha muonekano wako mzima.
SAA YA MKONONI: Huwezi kuwa stylish bila ya kuwa na saa ukiachana na kukuonyesha stylish ila pia husaidia kukufanya kuonekana mwanamke makini ambae unaenda na muda.
VIATU: Chagua viatu vizuri mtu yoyote akikutana na mwanamke cha kwanza kuangalia ni viatu hio humpa jibu la wewe ni mwanamke wa aina gani, hakikisha kila siku kila unapo kwenda uwe umevaa viatu vinavyo kupa muonekano wa kistylish
BANGILI: hukupa ile hali ya uanamke jaribu kuwa nazo za size tofauti na rangi tofauti tofauti, nyingi kadri ya uwezo wako.
BELT: belt huzaliwa almost na mavazi yote kuwa nayo mengi uwezavyo.
0 Comments